Friday, 22 January 2016

JUHUDI ZA KUTAKA KUANDIKA HISTORIA YA TANU BAADA YA KITABU CHA ABDUL SYKES 6Sheikh Ali Muhsin Barwani mwandishi wa ''Conflict and Harmony in Zanzibar.'
Dubai (1997)'

Kleist Sykes
Kushoto: Prof. Saida Othman Yahya Prof. Issa Shivji wakimhoji mwandishi kuhusu Mwalimu Julius Nyerere.
Hawa ni katika jopo linalofanya utafiti ili kuandika kitabu cha maisha ya Mwalimu Nyerere


itunes pic

Tafadhali bonyeza link hiyo hapo chini usikilize mahojiano ya Deus Gunze na Mohamed SaidKatika kitabu chake cha "The life and Times of Abdulwahid Sykes (1924-1968): The untold story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika" mwandishi Mohamed Said anaangalia mchango wa waislam katika harakati za kuleta uhuru wa Tanganyika. Je waislam ndio walioanzisha TAA na TANU? Je ni kweli Mwalimu Nyerere alinyakua TANU toka kwa waislam na kukifanya kuwa chombo cha kanisa? Nani alisaidia sana kuleta uhuru wa Tanganyika kati ya Mwalimu Nyerere na Abdul Sykes? Sikiliza zaidi.

Raia Mwema Januari 27 - 2 Februari 2016 uk. 12Post a Comment