Wednesday, 6 June 2018

ALI MOHAMMED SAID (OKTOBA 17, 1942 - JUNE 2, 1918)

 1. Kiranga

  KirangaJF-Expert Member

  #5
  Today at 10:21 AM
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 37,011
   
  Likes Received: 8,481
   
  Trophy Points: 280
  New


  Kweli.
  Mohammed Said wa JF kaweka picha zake nyingi hapa. Tofauti kabisa na huyo marehemu.
  SIGNATURE
 2. N

  narumukJF-Expert Member

  #6
  Today at 12:11 PM
  Joined: Feb 10, 2018
  Messages: 751
   
  Likes Received: 574
   
  Trophy Points: 180
  New


  Kumbe! Nilikuwa nimesituka sana

 3. Mohamed Said

  Mohamed SaidVerified User 

  #7
  7 minutes ago
  Joined: Nov 2, 2008
  Messages: 11,237
   
  Likes Received: 6,410
   
  Trophy Points: 280
  New


  Ndugu zangu,
  Ali Mohammed Said 
  tukifahamiana vyema sana na tukiishi sote Masaki
  kabla ya yeye kurudi kwao Zanzibar.

  Nakumbuka katika miaka ya 1980 Ahmed Rajab alikuja Dar es Salaam
  akitokeaLondon na ilikuwa mwezi Mtukufu wa Ramadhani kama huu.

  Rafiki yangu na jirani yangu Ahmed Maulid Mwana Diplomasia na ''linguist,''
  Mzanzibari akanialika futari nyumbani kwake na hiyo ndiyo ikawa mara yangu
  ya kwanza kufahamiana na Ahmed Rajab nyumbani kwa Ahmed Maulid na
  udugu wetu umedumu hadi leo.

  Mimi na Ahmed Rajab kwa kifo cha Ali Mohammed Said sote tumepoteza
  rafiki na ndugu kipenzi.

  Tunamuomba Allah amsamehe ndugu yetu madhambi yake na amtie peponi.
  Amin.

Post a Comment