Showing posts with label nyakati. Show all posts
Showing posts with label nyakati. Show all posts

Tuesday, 19 July 2016


Kijana Wa Kiislam Dsm added 15 new photos.
1 hr
Uchimbaji wa Msingi leo.
Tafadhali Tuma Mchango wako kupitia NAMBA.
O715800772 (Tigo-Pesa)
0673800772
Acc No/ 01000387756 (TPB) Tanzania Posta Bank .
Na Mratibu , Msimamizi GHALIB NASSOR MONERO.
LikeShow more reactions

Sunday, 3 July 2016


Mimi na Wewe
Mimi sina marungu, wewe unipigayo
Wala similiki pingu, wewe unifungayo
Jela ni yako si yangu, wewe unitiayo
Sina bunduki wala risasi, wewe unifyatuliayo
Lakini nina nafusi, ambayo wewe hunayo
Isiyo kisisi, kwa yote unitendayo
Sina wasiwasi, ambao wewe unao
Ndipo pale
Uinuwapo rungu, kichwani ukanishushiya
Na mikono yangu, pingu ukaizungushiya
Jela ufunguapo, ndani ukanisukumiziya
Mtutu unielekezeapo, risasi ukanimwagiya
Huwa nafsini mwako, woga wakutembeya
Machoni mwako, miale ya hofu yakuwakiya
Waogopa siku yako, ya mimi kukugeukiya
Basi hapo…
Giza litapoondoka, kwa asubuhi kungiya
Jogoo atapowika, watu wakamsikiya
Mnadi ‘tapoinuka, kwa nguvu akanadiya
Umma utapoamka, ni muda wa kuamua
Utaona...
Ilo rungu, siku litapokwanguka
Hiyo pingu, siku itapokatika
Bundukiyo, siku itapovunjika
Hizo risasi, zitashindwa kufyatuka
Lango la jela, mbeleyo litafunguka
Humo utupwe, kisha utasahaulika
Thamma utasahaulika
Kama vile hukuwapo!
© Mohammed K. Ghassani
3 Julai 2016

Thursday, 30 June 2016

Sunday, 26 June 2016


Photo

Photo
Mufti Abubakar Mzee na Sheikh Ali Hassan Mwinyi


Photo
Hamis bin Nassoro na wenzake kutoka Radio Kheri wakirusha matangazo mubashara
Photo
Kushoto Sheikh Alhadi Mussa na Sheikh Abdallah Jabir

Photo
Sheikh Othman Kaporo Muandaaji wa mashindano na mwalimu wa kuhifadhisha
Photo
Sheikh Mohamed Ali Mohamed Hafidh na mwalimu wa kuhifadhisha
Photo
Abdallah Jabir mmoja wa waandaaaji wa mashindano
Photo
Kijana akisoma huku akisikilizwa na Jopo la Majaji wa Kimataifa

Photo

Photo

Photo
Photo
Wahudumu katika sare zao maridadi
Photo
Kushoto Salim Lodi na Ramadhani Madabida
Photo
Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi

Photo

Photo

Photo

Photo
Kushoto Sheikh Suleiman Kilemile na Sheikh Salim Mtambo

Photo
Photo
Azam TV wakirusha matangazo mubashara
Photo
Waziri Mkuu akipokea zawadi

Photo
Photo

Photo

Photo

Photo

Photo

Photo
Sheikh Badr akiagana na Waziri Mkuu (haonekani) Kassim Majaliwa


Photo: Panorama

Photo

Wednesday, 22 June 2016Siwachi Kusema ni diwani yangu ya pili kuchapishwa baada ya Andamo (Buluu Publishing, 2016) ikiwa na tungo 70 zenye bahari na mitindo mbalimbali. Ambapo Andamo ni hadithi za maisha yangu ya mwanzoni mwa ujana baina ya 1993 na 2001, Siwachi Kusema ni muedelezo wa hadithi hizo baada ya mwaka 2001. Ni namna yangu ya kusema na kuyasemea yale yanayotokea mbele ya macho yangu – iwe kwenye uwanja wa siasa, jamii au hata katika kiwango cha binafsi – na yakaniathiri au kuacha alama kwa mazingira yaliyonizunguka. Ninasema na sitaki kuwacha kusema kwa kuwa kusema ni haki yangu na kwa kuwa ni tabia muhimu kwenye jumla ya mambo yanayouumba utu na ubinaadamu wangu. Ninasema kwa kuwa kuna mambo yanahitaji kusemwa, ili nipumuwe na nijipapatuwe dhidi ya kabari ya roho. Ninasema kwa furaha na kwa matumaini pale mambo yanapoonekana kwenda njia sahihi, lakini pia ninasema kwa hasira na kuvunjika moyo pale yanayopindishwa na kuchukuwa njia ya machakani; na kamwe sitaki kuacha kusema. Nimeuchagua ushairi kuwa moja ya njia ambazo naweza kuyasema na kuyawasilisha hao na mengine kama hayo na bado nikabakia na nafasi na wakati na nishati ya kuyasema mengine. Na bado nikabakia mimi mwenyewe.

Sunday, 12 June 2016


Sheikh Said Omar Abdallah
Mwinyi Baraka

Kushoto: Dr. Omar Saleh, Maalim Abdallah Selemani, Prof. Saleh Idris na Maulana Shamsul
Hassan
Photo


Aliyetupa mgongo ni Sheikh Ridha


Dr. Omar Saleh akikitambulisha kitabu cha Ali Muhsin Barwani: ''Conflicts and
Harmony in Zanzibar,'' katika kongamano


Dr. Mohamed Hafidh


Kushoto: Sheikh Abdallah Ali, Sheikh Ahmed Mgeni Ali, Sheikh Said Mahfoudh


Dr. Nabil Kiwia


Sheikh Saad Shangama na Sheikh Ibrahim Moeva


Kushoto: Prof. Hemed Hikmani


Dr. Ahmed KhatibMwinyi Baraka

Mwinyi Baraka